USIKOSE IBADA ZA LEO IKIWA NI SIKU YA MWISHO YA MKUTANO WA INJILI JIJINI MWANZA OSCAR ASSENGA October 01, 2017 OSCAR ASSENGA Kanisa la EAGT Lumala Mpya linakukaribisha kwenye ibada zake za leo jumapili ikiwa ni siku ya mwisho ya mkutano mkubwa wa injili ulioandaliwa na kanisa hilo kwenye uwanja wa Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza. Share this Author : OSCAR ASSENGA Related Posts
EmoticonEmoticon