Picha namba
1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati
akielekea kupanda ndege kwenda mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kamati ya Ulinzi na Usalama
ya Mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere wakati akielekea kupanda ndege kwenda mkoani Arusha kwa ajili ya ziara
ya Kikazi. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon