Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa kwa furaha na Mkuu wa Mkoa
wa Manyara Mhe. Joel Bendera alipowasili kuzindua barabara ya lami ya
kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA)
katika mkoa wa Kilimanjaro hadi Mererani mkoani Manyara leo Septemba 20,
2017.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia maelfu ya wananchi
alipowasili Mererani kuzindua barabara ya lami ya kilomita 26 kutoka
Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA) katika mkoa wa
Kilimanjaro hadi Mererani mkoani Manyara leo Septemba 20, 2017.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mbunge wa Simanjiro
Mhe. James Ole Milya kwenye sherehe ya kuzindua barabara ya lami ya
kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA)
katika mkoa wa Kilimanjaro hadi Mererani mkoani Manyara leo Septemba 20,
2017.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa
Mererani wakati wa kuzindua barabara ya lami ya kilomita 26 kutoka
Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA) katika mkoa wa
Kilimanjaro hadi Mererani mkoani Manyara leo Septemba 20, 2017.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizindua rasmi barabara ya lami ya
kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA)
katika mkoa wa Kilimanjaro hadi Mererani mkoani Manyara leo Septemba 20,
2017.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine
akikata utepe kuzindua barabara ya lami ya kilomita 26 kutoka Uwanja wa
Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA) katika mkoa wa Kilimanjaro hadi
Mererani mkoani Manyara leo Septemba 20, 2017.
Rais wa
jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wananchi baada ya kuzindua barabara ya lami ya kilomita 26 kutoka Uwanja
wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA) katika mkoa wa Kilimanjaro
hadi Mererani mkoani Manyara leo Septemba 20, 2017.
Picha na IKULU
EmoticonEmoticon