Mkurugenzi
wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (wa tatu kulia) akimkabidhi
funguo ya Pikipiki Kiongozi wa Kundi la Ngoma la Kannengwa Rungwe,
Nolbert Mwandinga, baada ya kundi lake kuibuka mshindi wa kwanza katika
kundi la Ingoma Kituli, wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi wa
Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililomalizika
mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe
mkoani Mbeya. Katika Tamasha hilo jumla ya washindi 10 wa kwanza kutoka
kila kundi walizawadiwa Pikipiki.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akicheza ngoma ya asili ya kundi
la Banyampulo ya kabila la Wanyakyusa, wakati wa Tamasha la Tulia
Traditional Dances Festival 2017, lililomalizika mwishoni mwa wiki
kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. Katika
Tamasha hilo jumla ya washindi 10 wa kwanza kutoka kila kundi
walizawadiwa Pikipiki.
Wacheza
Bao Gabriel Mwasankinga wa timu ya CCM (kushoto) akichuana na Pascal
Mbwelembweta wa timu ya Kawechele, kutafuta mshindi wa tatu katika
mchezo wa fainali za mchezo huo kuadhimisha Tamasha la Tulia Traditional
Dances Festival 2017, lililomalizika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa
Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
Wacheza
Bao Kocha Lufingo wa timu ya Stendi Kuu (kushoto) akichuana na Six
Willson wa timu ya Soko Kuu, kutafuta mshindi wa kwanza na wapili katika
mchezo wa fainali za mchezo huo kuadhimisha Tamasha la Tulia
Traditional Dances Festival 2017, lililomalizika mwishoni mwa wiki
kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akipokea michango ya hela
kutoka kwa wananchi wa Tukuyu kwa ajili ya harambee ya kuichangia timu
ya Tukuyu Stars ''Changia Tukuyu Stars irudi Ligi Kuu'' wakati wa
Tamasha la Tulia Traditional Dances Festival 2017, lililomalizika
mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilaya ya Rungwe
mkoani Mbeya. Katika Tamasha hilo jumla ya washindi 10 wa kwanza kutoka
kila kundi walizawadiwa Pikipiki.
Picha na Muhidin Sufiani
EmoticonEmoticon