NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU KAZI,AJIRA NA MAHUSIANO DKT EVELINE MUNISI AKIPATA MAELEKEZO KWA VIJANA WANAOPATA MAFUNZO YA UANAGENZI

June 30, 2026


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Dkt. Eveline Munisi akipata maelezo kutoka kwa  vijana wanaopata mafunzo ya Uanagenzi awamu ya 8 ya mwaka 2025/2026 katika ziara yake ya kikazi katika  ufatiliaji wa maendeleo ya Mafunzo ya Uanagenzi Chuo cha Maendeleo ya Vijana Sengerema (FDC) Juni 29, 2026 Wilaya ya Sengerema, Mkoani Mwanza.




Share this

Related Posts

Previous
Next Post »