: Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wananchi wa Singisi kata ya Akeri nje kidogo ya jiji la
Arusha kwenye njia panda ya KIA waliosimamisha msafara wake akiwa njiani
kurejea Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza
ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisindikizwa na wakuu wa mikoa ya Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira na wa
Arusha Mhe Mrisho Gambo akati akielekea kupanda ndege katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kurejea Dar es salaam leo
asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano
mkoani Arusha.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Mkuu wa mikoa ya Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira kabla ya
kupanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)
kurejea Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza
ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho
Gambo kabla ya kupanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro (KIA) kurejea Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017
baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipungiwa mikono na Mkuu wa mikoa ya Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira na
Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakati ndege yake ikiondoka katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kurejea Dar es salaam leo
asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano
mkoani Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo na Kamanda wa Polisi wa
Mkoa huo wakiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)
baada ya kumsindikisza Rais Dkt John Pombe Magufuli leo asubuhi
Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani
Arusha.
Picha na IKULU
Picha na IKULU
EmoticonEmoticon