Mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena cha Clouds fm, Geah Habib akiendesha kipindi chake ndani ya duka jipya la Tigo mkoani Mwanza hii leo. Hii ni sehemu ya shamrashamra za msimu wa Tigo fiesta 2017. |

Wafanyakazi wa Tigo wakiendelea kutoa Huduma |
Msimamizi wa duka la Tigo Barbara ya Nyerere mkoani Mwanza, Neema Mossama akizungumzia jinsi gani wateja wa Tigo wataweza kunufaika na huduma zao ndani ya msimu huu wa Tigo fiesta
|
EmoticonEmoticon