Baadhi ya wananchii wakiwa wamezunguka Banda la Tigo wakipata Huduma Mbalimbalia katika maonesho ya kilimo ya Nane nane yaliyopo Ngongo Mkoa wa Lindi. |
Meneja wa kanda ya Kusini wa Kampuni ya Tigo Uthman Madata akigawa Kofia Katika Banda la Tigo katika Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo ya Ngongo Mkoani Lindi |
.Meneja wa kanda ya Kusini kampuni ya mtandao wa Tigo akiongea na baadhi ya wateja wa Tigo waliofika kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali katika maonesho ya kilimo ya Nanenane |
.Meneja wa kanda ya Kusini kampuni ya mtandao wa Tigo akiongea na baadhi ya wateja wa Tigo waliofika kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali katika maonesho ya kilimo ya Nanenane |
EmoticonEmoticon