Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli mapema asubuhi ya leo tarehe 23 Julai 2017
akihutubia wananchi wa kijiji cha LUCHUGI-UVINZA Mkoani Kigoma akiwa njiani
kuelekea Mkoani Tabora Kuanza Ziara ya Kiserikali Mkoani Humo
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
mapema asubuhi ya leo tarehe 23 Julai 2017 akihutubia wananchi wa kijiji
cha LUCHUGI-UVINZA Mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Mkoani Tabora
Kuanza Ziara ya Kiserikali Mkoani Humo
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akimsikiliza mwenyekiti wa kijijji cha Uvinza Ndugu Nilisi Noa Ntabai alipokuwa
akieleza kero ya maji ya eneo hilo la uvinza ikiwemo kusimama kwa kiwanda cha
chumvi Uvinza ambacho kilikuwa tegemeo kwa wananchi wa eneo hilo,ambapo
Mhe,Rais amewaahidi wananchi hao kumtuma Waziri wa Viwanda na Biashara
kushughulikia tatizo hilo. Julai 23,2017.
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
mapema asubuhi ya leo tarehe 23 Julai 2017 akihutubia wananchi wa kijiji
cha LUCHUGI-UVINZA Mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Mkoani Tabora
Kuanza Ziara ya Kiserikali Mkoani Humo
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akikagua tanki la akiwa kuhifadhia maji toka mto Maragalasi kabla ya kuweka
jiwe la msingi la maradi huo utakao hudumia wananchi wa Nguruka, Uvinza, mkoani
Kigoma. Kulia ni Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa ameambatana na Waziri wa Maji
Mhandisi Gerson Lwenge wakishuka ngazi mara baada ya Mh,Rais Kukagua Ujenzi wa
Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka kabla ya kuhutubia
wananchi.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana mkono na Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge mara bada
ya kuweka jiwe la msingi la maradi wa maji Nguruka.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Nguruka Uvinza
Mkoani Kigoma,wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la
Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Nguruka Uvinza
Mkoani Kigoma,wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la
Kuhifadhia Maji kwa ajili ya Wananchi wa Nguruka.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwasalimia Mamia ya Wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma mara
baada ya kuhitimisha kuwahutubia wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi
wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka. Picha na IKULU
EmoticonEmoticon