Pichani juu na chini ni sehemu ya washiriki kutoka China na Tanzania waliohudhuria mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam. [caption id="attachment_2456" align="aligncenter" width="1404"] Mwenyekiti ya Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo China (CIDRN), Prof. Dr. Li Xiaoyun akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam. Balozi wa Tanzania nchini China, Mh. Mbelwa Kairuki akizungumzia namna ambavyo watanzania wanaweza wakafaidika na fursa za biashara na uwekezaji nchini China wakati wa mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2458" align="aligncenter" width="1404"] Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka akiwasilisha mada inayohusu mahusiano ya kibiashara ya uwekezaji kati ya Tanzania na China kwa mtazamo wa Serikali za Mitaa wakati wa mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2462" align="aligncenter" width="1404"] Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida, Balozi wa Tanzania nchini China, Mh. Mbelwa Kairuki, Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim, Mwenyekiti wa bodi ya ESRF, Philemon Luhanjo, Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za Infotech Investment, Ali Mfuruki wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilisha wakati wa mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2464" align="aligncenter" width="1404"] Mkutano ukiendelea.[/caption] [caption id="attachment_2472" align="aligncenter" width="1404"] Balozi wa Tanzania nchini China, Mh. Mbelwa Kairuki pamoja na Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim wakifuatilia mada mbalimbali zilizokua zikiwasilishwa katika mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2479" align="aligncenter" width="2880"] Profesa Humphrey Moshi kutoka idara ya Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akiwasilisha mada inayohusu uhusiano wa China na Tanzania katika masuala ya uwekezaji na biashara wakati wa mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2465" align="aligncenter" width="1404"] Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Maalum ya Uwekezaji (EPZA), Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia akichangia maoni wakati wa mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2466" align="aligncenter" width="1404"] Mwanachama wa Chama cha Wanafunzi walisomea China (CAAT), Linas Kahisha akielezea uzoefu wake katika fursa za kibiashara nchini humo katika mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2467" align="aligncenter" width="1404"] Pichani juu na chini ni washiriki kutoka Tanzania na Chini waliohudhuria mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2463" align="aligncenter" width="1404"] Mgeni rasmi Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Mpango, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi watafiiti kutoka nchini China.[/caption] [caption id="attachment_2480" align="aligncenter" width="2880"] Mkuu wa Idara ya Utafiti na Machapisho wa ESRF, Prof. Fortunata Makene (kushoto) katika picha ya kumbukumbu na Mkuu wa Idara ya Maarifa na Ubunifu wa ESRF, Bi. Margareth Nzuki (kulia) mara baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2481" align="aligncenter" width="607"] Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida (katikati), Mkuu wa Idara ya Maarifa na Ubunifu wa ESRF, Bi. Margareth Nzuki na Mwenyekiti ya Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo China (CIDRN), Prof. Dr. Li Xiaoyun katika picha ya kumbukumbu.[/caption] [caption id="attachment_2482" align="aligncenter" width="1080"] Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (katikati) katika picha ya pamoja na washiriki kutoka TPSF na ESRF na Mshereshaji wa mkutano huo Eng. George Mulamula (kushoto).[/caption] [caption id="attachment_2473" align="aligncenter" width="1404"] Baadhi ya washiriki kutoka China wakichukua baadhi ya makabrasha yenye taarifa mbalimbali zilizoandaliwa na ESRF wakati wa mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2474" align="aligncenter" width="1404"] Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida alipowasili katika ufunguzi wa mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2475" align="aligncenter" width="1404"] Mgeni rasmi Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Mpango (katikati) akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida (kushoto) na Mwenyekiti wa bodi ya ESRF, Philemon Luhanjo baada ya kuwasili katika mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2477" align="aligncenter" width="1920"] Mgeni rasmi Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Mpango katika picha ya kumbukumbu na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida mara baada ya kufungua mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na China uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption]
ESRF YAANDAA MKUTANO KUJADILI BIASHARA NA UWEKAZAJI KATI YA TANZANIA NA CHINA

EmoticonEmoticon