PROF. JUMMANE MAGHEMBE ATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE, KABILA AMBALO BADO WANAISHI KWA KUWINDA NA KUCHUMA VYAKULA BILA UZALISHAJI

June 11, 2017
haz1
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akishuhudia jamii ya Wahadzabe wakitengeneza chakula cha mchana ambao ni unga utokanao na ubuyu. Kabila la Wahadzabe ni moja ya jamii za wawindaji na wakusanyaji wanaopatikana Tanzania ambao chakula chao kikuu ni nyama, matunda, mizizi na asali
haz2
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akionja unga wa ubuyu ambao ndiyo chakula maarufu cha jamii ya Wahadzabe.
haz3
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akipewa maelezo kuhusu nyumba maarufu za jamii ya  Wahadzabe
haz4
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akipewa maelezo ya matumizi ya mshale katika jamii ya Wahadzabe
haz5
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akichezewa ngoma maarufu ya jamii ya Wahadzabe ambayo huchezwa wakati wakimpokea Mgeni mwenye hadhi katika jamii.
haz6
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akisaini kitabu cha Wageni mara alipowasilia  katika kijiji cha Yaeda chini wilayani Mbulu mkoani Manyara.
haz7Mkurugenzi wa Rasilimali Misitu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)Bw. Zawadi Mbwambo (katikati) akisikiliza kwa makini risala iliyosomwa na Wawakilishi wa Jamii ya Wahadzabe kwa Mgeni rasmi

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »