Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Geita,Meja Jenerali Mstaafu, Ezekiel
Kyunga wakati alipowasili mjini Chato mkoani Geita Juni 21, 2017 kwa
ziara ya siku mbili mkoani humo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akishiriki katika swala ya magaharibi katika futari iliyoandaliwa na
Waziri Mkuu mjini Chato, mkoani Geita, Juni 21, 2017.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akisalimiana na Askofu Mussa Magwesera wa Kanisa la African Inland
Church (AIC), Dayosisi ya Geita katika futari iliyoandaliwa na Waziri
Mkuu kwa Niaba ya Rais John Pombe Magufuli mjini Chato mkoani Geita
Juni 21, 2017.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akifuturu pamoja na Askofu Mussa Magwesera wa Kanisa la African Inland
Church (AIC) Dayosisi ya Geita (kushoto) na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa
Geita, Alhaj Yusuph Kabaju(kulia) katika futari iliyoandaliwa na Waziri
Mkuu kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli, mjini Chato, mkoani Geita
Juni 21, 2017.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akizungumza na wananchi wa eneo la Kigongo feri Wilaya ya Misungwi,
wakati aliposimama kwa muda akiwa njiani kuelekea Chato kwa ziara ya
siku mbili Juni 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon