Balozi wa Afrika
ya Kusini nchini, Thamsanga Dennis Msekelu akicheza muziki wa asili ya
Afrika Kusini Kwaito na baadhi ya
wageni waalikwa wakati wa kusherehekea maadhimisho ya miaka 23 ya Uhuru wa
Afrika ya Kusini,Hafla hiyo iliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC ilifanyika
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja Ruzuku wa Vodacom Tanzania Foundation,
Sandra Oswald(kushoto)akiwa na wageni waalikwa kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka 23 ya Uhuru wa Afrika ya
Kusini,Hafla hiyo iliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC na kufanyika jijini
Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Balozi wa Afrika
ya Kusini nchini, Thamsanga Dennis Msekelu akipongezwa na Meneja Ruzuku wa Vodacom Tanzania Foundation,
Sandra Oswald,kuhusiana na sherehe
ya maadhimisho ya miaka 23 ya Uhuru wa Afrika ya Kusini iliyofanyika jijini Dar
es Salaam mwishoni mwa wiki,Sherehe hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC.
EmoticonEmoticon