Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa Mkutano wa 10 wa Baraza la Taifa
Biashara Tanzania (TBNC) uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Kutoka
kushoto ni Waziri Mkuu na Mjumbe wa Baraza hilo Kassim Majaliwa, Mwenyekiti wa
Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) Dkt. Reginald Mengi, Katibu Mkuu Kiongozi na
Mwenyekiti wa Kamati Tendaji wa TBNC Balozi John Kijazi na Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira, na Walemavu Jenista Mhagama.
Katibu Mkuu Kiongozi na Mwenyekiti wa Kamati
Tendaji wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania (TBNC), Balozi John Kijazi
akitoa utambulisho wa wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania (TBNC)
wakati wa Mkutano wa 10 wa Baraza hilo na uzinduzi wa Baraza hilo leo Ikulu
Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara
Tanzania (TBNC) wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa Baraza hilo wakati wa
Mkutano wa 10 wa Baraza hilo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania (TBNC) wakifuatilia
hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe
Magufuli ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa Baraza hilo wakati wa Mkutano wa
10 wa Baraza hilo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na
Mwenyekiti Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania(TPSF) Dkt. Reginald
Mengi wakati wa Mkutano wa 10 wa Baraza la Taifa Biashara Tanzania (TBNC)
uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Waziri Mkuu na Mjumbe wa
Baraza hilo Kassim Majaliwa.
Rais wa Taasisi ya Wakuu wa Makampuni CEO Round
Table Ally Mfuruki akisalimiana na Mwenyetiki wa Taasisi za Kibenki ambaye pia
ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei wakati wa Mkutano wa
10 wa Baraza la Taifa Biashara Tanzania (TBNC) uliofanyika Ikulu Jijini Dar es
Salaam leo. Kushoto ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles
Mwijage.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania
(TPSF) Godfrey Simbeye akiteta jambo na Gavana wa Benki Kuu (BOT) Profesa Benno
Ndulu wakati wa Mkutano wa 10 wa Baraza la Taifa Biashara Tanzania (TBNC)
uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa 10 wa Baraza
la Taifa la Biashara Tanzania (TBNC) wakichangia mada wakati wa mkutano huo
ulifanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa 10 wa Baraza
la Taifa la Biashara Tanzania (TBNC) wakichangia mada wakati wa mkutano huo
ulifanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa 10 wa Baraza
la Taifa la Biashara Tanzania (TBNC) wakichangia mada wakati wa mkutano huo
ulifanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles
Mwijage akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa 10 wa Baraza la Taifa la Biashara
Tanzania (TBNC) ambao pia uliambatana na uzinduzi wa Baraza hilo leo Ikulu
Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene akifafanua jambo wakati wa
Mkutano wa 10 wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania (TBNC) ambao pia
uliambatana na uzinduzi wa Baraza hilo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
William Lukuvi akielezea jambo wakati wa Mkutano wa 10 wa Baraza la Taifa la
Biashara Tanzania (TBNC) ambao pia uliambatana na uzinduzi wa Baraza hilo leo
Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania
(TPSF) Dkt. Reginald Mengi akiteta jambo na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa
la Biashara Tanzania (TBNC) Mhandisi Raymond Mbilinyi (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji
wa TPSF, Godfrey Simbeye.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI
Mhandisi, Mussa Iyombe akielezea jambo mbele ya Waziri wa Nishati na Madini
Profesa Sospether Muhongo (katikati), Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi
Gerson Lwenge na Waziri wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Maghembe
(kushoto).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo
Mei
6, 2017 tayari kwa kuendesha mkutano wa 10 wa Baraza hilo. Kushoto
ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na kushoto kwa Rais ni Mwenyekiti
wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini (TSPF) Dkt. Reginald Mengi na Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akisoma muhtasari wa mkutano wa 10 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini (TSPF) Dkt. Reginald Mengi akisoma hotuba yake wakati wa mkutano wa 10 wa Baraza la Taifa la Biashara katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es
salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu wakimsikiliza Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo
akifafanua masuala kadhaa ya wizara yake wakati wa mkutano wa 10 wa
Baraza hilo ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es
salaam leo Mei 6, 2017. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa,
akufuatiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini (TSPF) Dkt.
Reginald Mengi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu )
Mhe.
Jenista Mhagama
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa 10 wa Baraza la Taifa la Biashara katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. Kushoto kwake ni Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi
Nchini (TSPF) Dkt. Reginald Mengi, Rais Dkt John Pombe Magufuli, Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera,
Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu ) Mhe. Jenista Mhagama
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Dkt. John Pombe Magufuli akiongea katika mkutano wa 10 wa Baraza hilo ukumbi wa mikutano wa Jakaya
Kikwete
Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa, akufuatiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta
Binafsi Nchini (TSPF) Dkt. Reginald Mengi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
John Kijazi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira
na Watu wenye Ulemavu ) Mhe. Jenista Mhagama
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Dkt. John Pombe Magufuli akiongea katika mkutano wa 10 wa Baraza hilo ukumbi wa mikutano wa Jakaya
Kikwete
Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa, akufuatiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta
Binafsi Nchini (TSPF) Dkt. Reginald Mengi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
John Kijazi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira
na Watu wenye Ulemavu ) Mhe. Jenista Mhagama
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Dkt. John Pombe Magufuli akiongea katika mkutano wa 10 wa Baraza hilo ukumbi wa mikutano wa Jakaya
Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. Kushoto ni Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akufuatiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta
Binafsi Nchini (TSPF) Dkt. Reginald Mengi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
John Kijazi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira
na Watu wenye
Ulemavu ) Mhe. Jenista Mhagama
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu ) Mhe. Jenista Mhagama akiongea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Dkt. John Pombe Magufuli akiongea katika mkutano wa 10 wa Baraza hilo ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 6, 2017. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akufuatiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini (TSPF) Dkt. Reginald Mengi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu ) Mhe. Jenista Mhagama
EmoticonEmoticon