Afisa Mwitikio wa Taasisi za Umma
kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Hafidh Ameir
akizungumza wakati akitoa semina kuhusu Ukimwi iliyofanyika katika
ukumbi wa mikutano makao makuu ya TEMESA jijini Dar Es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala
wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakimsikiliza Afisa Mwitikio wa Taasisi za
Umma kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Hafidh
Ameir (hayupo pichani) wakati akitoa semina kuhusu maambukizi mapya ya
Ukimwi iliyofanyika ofisini hapo.
Afisa Mwitikio wa Taasisi za Umma
kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Hafidh Ameir
akisisitiza jambo wakati alipokua akitoa semina ya Ukimwi kwa
wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) iliyofanyika katika
makao makuu ya ofisi hizo jijini Dar Es Salaam.
Afisa Mwitikio wa Taasisi za Umma
kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Hafidh Ameir
akisisitiza jambo wakati akitoa takwimu kuhusu viwango vya maambukizi ya
Ukimwi kimkoa kwa wafanyakazi wa TEMESA katika semina iliyofanyika
makao makuu ya wakala huo jijini Dar Es Salaam.

EmoticonEmoticon