Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth
Magufuli wakimjulia hali Mzee Francis Maige Kanyasu(Ngosha) aliyelazwa
Wodi ya Mwaisela katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya
Matibabu. Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Mtendaji wa Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence Museru pamoja na Dkt. Juma Mfinanga
Daktari Bingwa wa magonjwa ya Dharura na Ajali katika hospitali hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mzee Francis Maige
Kanyasu(Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili kwa ajili ya Matibabu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth
Magufuli wakimjulia hali mtoto Shukuru Kisonga aliyelazwa katika
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto Shukuru alikuwa akidaiwa kuishi
kwa kula Sukari, Maziwa na mafuta ya kula lakini hali yake imeimarika
zaidi na kuanza kula vyakula vya kawaida. Katikakati ni Mama yake
Shukuru Mwanahabibi Mohamed Mtei.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth
Magufuli wakimtakia heri mtoto Shukuru Kisonga aliyelazwa katika
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili pamoja na Mama yake Mwanahabibi Mohamed
Mtei.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa wengine
waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa wengine
waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa Mtendaji wa Hospitali ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa wengine
waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini
EmoticonEmoticon