Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa
Dkt. Tulia Ackson (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO
nchini Tanzania Ndg.Jeremie Zoungana, aliyekuja kuzungumza nae na
kubadilishana uzoefu wa
kazi, kabla ya kuanza kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia)
akizungumza na ugeni uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma,ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini Tanzania Ndg.
Jeremie Zoungana (wa pili kulia).
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia)
akimsikiliza Mkurugenzi wa Mradi wa USAID wa Boresha Afya, Ndg. Dustan
Bishanga (wa pili kushoto) akizungumza leo katika kikao kilichofanyika
Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
EmoticonEmoticon