Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,
Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na wajumbe wa Baraza lake pamoja na
Wadau wa Kampuni ya Afritrack ambayo iliwasilisha katika kikao hicho
Mfumo wa Ulipaji wa Tozo wa Papo kwa Papo kwa kutumia mashine za umeme.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,
Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya
Afritrack, Subel Sharif (kushoto) wakati alipokua anawasilisha mada
katika kikao cha Wajumbe wa Baraza hilo, kuhusu Mfumo wa Ulipaji wa Tozo
wa Papo kwa Papo kwa kutumia mashine za umeme.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,
Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu,
Mafunzo na Uenezi wa Baraza hilo, Henry Bantu wakimsikiliza Mkurugenzi
wa Kampuni ya Afritrack, Subel Sharif (hayupo pichani) wakati alipokua
anawasilisha mada katika kikao cha Wajumbe wa Baraza hilo, kuhusu Mfumo
wa Ulipaji wa Tozo wa Papo kwa Papo kwa kutumia mashine za umeme. Picha
zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
EmoticonEmoticon