KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AHUDHURIA MKUTANO WA VYMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA NCHINI ANGOLA

May 18, 2017
ango
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Abdrahamani Kinana yuko nchini Angola akiongoza ujumbe wa CCM katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Vyama vya ukombozi wa kusini mwa Afrika( Front Line State parties).Pia Ndugu Katibu Mkuu ameongoza Majadiliano na vyama Rafiki vilivyoshiriki Mkutano huo kikiwemo Chama Cha Kikomunisti Cha watu wa China .Ujumbe wa CCM umejumuisha katibu wa Itikadi,Siasa na Uenezi( Ndg.Humphrey Polepole) Katibu wa Siasa na Uhusiano wa kimataifa(Ndg.Ngemela Lubinga) na watendaji wa Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM). Vyama Rafiki Vimepongeza CCM MPYA NA MWENENDO WAKE.
angol

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »