Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa
Azzan Zungu akiongoza kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Nyonyani
akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na moja cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki
akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na moja cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
Naibu
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Dkt.
Hamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Aprili 24, 2017.
Naibu
Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Ole Nasha akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
Waziri
wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
Mbunge
wa Viti Maalum Morogoro (CCM) Mhe Dkt Christina Ishengoma akiuliza
swali katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
Mbunge
wa Songwe (CCM) Mhe. Philipo Augustino Mulogo akiuliza swali katika
kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 24, 2017.
Waziri
wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akijadiliana jambo na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.
January Makamba katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene akijadiliana
jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji katika
kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 24, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene akijadiliana
jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji katika
kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 24, 2017.
Mbunge
wa Kilindi (CCM) Mhe Omari Mohamed Kigua akiuliza swali katika kikao
cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Aprili 24, 2017.
Wabunge
wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.
Baadhi
ya wazee walioshiriki katika kuchanganya mchanga wakati wa Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar wakifuatilia shughuli za Bunge katika katika
kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 24, 2017. Picha na Raymond Mushumbusi, Dodoma.
EmoticonEmoticon