VIJANA WA KAZI MOUNTI MERU RICKERNEST BAND WAAIDI MAKUBWA NDANI YA JIJI LA ARUSHA NA MIKOA YOTE YA TANZANIA

March 14, 2017
  vijana wa kazi kaskazini Arusha wakitoa burudani ya nguvu ndani ya Triple A sport bar   bendi  town ijulikanayo kama  Mounti Meru Rickernest   

waimbaji wa bandi ya  Rickinest wakiwa wanaserebuka pamoja na wadau  wa muziki wa bandi mkoani Arusha

 waimbaji wakiwa wanaendelea kupata burudani na mashabiki
 wanenguaji hatari kutoka bendi ya Rickinest Band wakionyesha uwezo wao wa kukata mauno jukwaani

 Apa mzuka ulikuwa umepanda hatari waliamua kuonyesha makeke ya kila aina

 washabiki wa bandi ya Rickinest wakiwa wana show love kwa pamoja  mara baada ya burudani kukolea

 wanadada wa A-Town  waliouthuria katika show hiyo ya Mounti Meru Rickinest Band  wakiwa katika pozi

 Wa kwanza kushoto ni shabiki mkuu wa band ya Rickinest music band  Omary Matelephone akiwa anabadilishana mawazo na  shabiki mwenzake ambalo jina lake alikuweza kufahamika mara moja

 mmoja wa wakurunzi wa band hiyo  wa kwanza kulia akiwa anaserebuka sebene la nguvu wakati wanamuziki wakifanya yao (picha zote na Woinde Shizza,Arusha)
Bendi hii ya Mounti Meru Rickernest bandi inafanya onyesho lake kila siku ya ijumaa ,jumamosi na jumapili katika ukumbi wa Triple A sport bar  

Bendi hii ni mpya na imeaidi kutoa burudani ya nguvu kwa mikoa yote ya hapa nchini

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »