Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akivuta kitambaa pamoja na Rais
wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi
katika Mradi wa ujenzi wa Makutano ya barabara za Juu Ubungo Interchange
jijini Dar es Salaam. Pembeni kulia ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akipiga makofi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Benki ya
Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kuzindua mitambo na magari
yatakayotumika katika ujenzi wa makutano ya barabara za juu za Ubungo
(Ubungo interchange) jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Benki
ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakimsikiliza Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala
wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Crispianus Ako aliyekuwa akielezea
nama ya ujenzi huo makutano ya barabara za juu za Ubungo(Ubungo
interchange) zitakavyokuwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Benki
ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa wakati wakielekea kuweka jiwe la
msingi ujenzi wa makutano ya barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Benki ya Dunia Dkt.
Jim Yong Kim wakiwapungia wananchi mkono wakati wakielekea kuweka jiwe
la msingi ujenzi wa makutano ya barabara za juu Ubungo interchange,
Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi hawapo
pichani kabla ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa ya
barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati akiwa
ndani ya basi la Mwendokasi pamoja na Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim
Yong Kim (anayetazama kadi yake ya DART) wakati wakitokea kituo kikuu
cha BRT-Kivukoni kuelekea Ubungo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la msingi
mradi wa Makutano ya barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa
Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakati wakiwa ndani ya moja ya basi la
DART wakati wakitokea kituo kikuu cha BRT-Kivukoni kuelekea Ubungo kwa
ajili ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Makutano ya barabara za juu
Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Benki ya
Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Benki ya
Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Benki ya
Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa
Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakati wakiagana na wananchi wa
Kivukoni hawapo pichani kabla ya kupanda Basi la Mwendokasi (DART)
kuelekea Ubungo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la
Msingi Mradi wa Makutano ya barabara za juu za Ubungo jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Benki ya
Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kutoa hotuba yake kabla ya kuweka
jiwe la msingi mradi wa Makutano ya barabara za juu Ubungo interchange,
Ubungo jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akipanda basi la DART-Maarufu kama Mabasi ya Mwendokasi katika
eneo la Kivukoni wakati akielekea Ubungo kuhudhuria sherehe za uwekaji
wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Makutano ya barabara za juu Ubungo
interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Picha namba 19. Mke wa Rais Mama
Janeth Magufuli akiwa ndani ya basi la Mwendokasi wakati akielekea
Ubungo kuhudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi
wa Makutano ya barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es
Salaam
Baadhi ya Wananchi wakifatilia
kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuweka jiwe la msingi
Mradi wa ujenzi wa Makutano ya barabara za juu Ubungo interchange,
Ubungo jijini Dar es Salaam-PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon