Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania Profesa Beno Ndulu, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip
Mpango na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendego akikata utepe kuashiria
ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya kutoa Huduma za Benki Kuu ya Tanzania Tawi
la Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi kabla ya
kufungua rasmi Jengo la Ofisi ya kutoa Huduma za Benki Kuu ya Tanzania
Tawi la Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania Profesa Beno Ndulu mara baada ya kufungua jengo la Ofisi ya
kutoa Huduma za Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na baadhi ya watoto
mkoani Mtwara waliomfata kumsalimia mara baada ya kufungua jengo la
Ofisi ya kutoa Huduma za Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa
Nyumba za Shirika la nyumba la Taifa NHC katika eneo la Raha leo mkoani
Mtwara. Wengine katika Picha ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Wiliam Lukuvi pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa NHC Nehemia Mchechu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mbunge wa Mtwara mjini
kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Maftah Nachuma kabla ya kufungua rasmi
Nyumba za Shirika la nyumba la Taifa NHC katika eneo la Raha leo mkoani
Mtwara.
Sehemu ya Nyumba hizo za Gorofa za Shirika la Nyumba la Taifa NHC katika eneo la Raha Leo mkoani Mtwara.
PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon