Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo BI. Nuru Milao (kulia) akichangia
mada katika kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini
kinachoendelea katika ukumbi wa Hazina mkoani Dodoma,kushoto ni
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Hassan Abbas.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw.
Hassan Abbas (kushoto) akichangia mada katika kikao Kazi cha Maafisa
Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Hazina mkoani
Dodoma, kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na
Michezo BI. Nuru Milao.
Mtendaji Mkuu Wakala wa Serikali
Mtandao Dkt. Jabiri Bakari akitoa mada juu ya hali halisi ya uhuishaji
wa Taarifa za Serikali kwenye Tovuti Kuu ya Serikali na Taasisi za
Serikali katika Kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini
kinachoendelea katika ukumbi wa Hazina mkoani Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha
Mawasiliano Serikalini Idara ya Habari (Maelezo) Bi. Zamaradi Kawawa
akichangia mada katika kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini
kinachoendelea katika ukumbi wa Hazina mkoani Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
TBC Bi. Edna Rajabu akichangia mada katika kikao Kazi cha Maafisa
Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Hazina mkoani
Dodoma.
Afisa Habari Mwandamizi Tume ya
Taifa ya Uchaguzi Bi. Margareth Chambili akichangia mada katika kikao
Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa
Hazina mkoani Dodoma.
Afisa Uhusiano na Huduma kwa
Wateja TANESCO Bi. Neema Mbuja akichangia mada katika kikao Kazi cha
Maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Hazina
mkoani Dodoma.
Mkuu wa Kitengo cha Intelejensia
ya kidigitali kutoka Kampuni ya Push Observer Kanali Mstaafu Dkt Abas
Katalla akichangia mada katika kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano
Serikalini kinachoendelea katika ukumbi wa Hazina mkoani Dodoma. (Picha
na Benjamin Sawe-Maelezo).
EmoticonEmoticon