Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Mkuu wa Wilaya Dodoma Mjini Christina Mndeme (kushoto)
pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakati alipokuwa akiondoka katika
uwanja wa ndege wa Dodoma leo baada ya kumalizika kwa Vikao vya Chama
cha CCM Ukiwemo Mkutano Mkuu maalum uliofanyika juzi katika ukumbi wa
mpya wa Kiwete Hall uliopo nje ya Mji wa Dodoma,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
pamoja na Viongozi wengine waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Dodoma katika Mkutano
Mkuu malaaum uliofanyika juzi,[Picha na Ikulu.] 13/03/2017.
EmoticonEmoticon