Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na
Mazingira Mh. January Makamba akiwa
katika kikao na wawakilishi wa sekta
binafsi wakizungumza kuhusu masuala ya ufanisi katika mchakato wa Tathmini ya
athari za Mazingira. Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais
Profesa Faustin Kamuzora. Kikao hiko kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa
Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Wadau wa sekta binafsi waliohudhuria kikao hiko
wakiwa pamoja na Watumishi na Wataalamu toka Ofisi ya Makamu wa Rais na Baraza
la Usimamizi wa mazingira(NEMC) wakimsikiliza Mh. Waziri January Mkamba(hayupo
pichani) wakati wa kikao hiko.
Mmoja wa Wadau toka sekta binafsi za wenye mahoteli, viwanda
na fukwe Bi. Lathifa K. Sukes akichangia jambo katika kikao hiko. (PICHA ZOTE
NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI OMR)
EmoticonEmoticon