Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke
aliyefika Ikulu kwa ajili ya Mazungumzo.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akizungumza na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Fedha Duniani
(IMF) Bhaswar Mukhopadhyay Ikulu jijini Dar es Salaam. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akiagana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Fedha Duniani
(IMF) Bhaswar Mukhopadhyay mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akiagana na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Daniel Fred
Kidega mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi
Liberat Mfumukeko aliyefika Ikulu kwa
ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi
Liberat Mfumukeko mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John
Pombe Magufuli akiwa amemshika mkono Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga
wakati akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Balozi Liberat Mfumukeko mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akifurahia jambo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine
Mahiga mara baada ya kumaliza mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Share this
EmoticonEmoticon