Picha ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi
zao hapa nchini katika Sherehe za Mwaka mpya kwa Mabalozi(New Diplomatic
Sherry Party) Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga katika picha ya pamoja na
Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini mara baada ya
kuwahutubia katika Sherehe za Mwaka mpya kwa Mabalozi(New Diplomatic
Sherry Party) Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon