Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe
la ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi yenye kilometa 71.8 wengine
katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka, Naibu Waziri Ofisi
ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Luhaga Mpina, Waziri wa Ujenzi
Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, Mwenyekiti wa CCM
Simiyu Titus Kamani na Mbunge wa Bariadi Andrew Chenge.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka pamoja na Waziri wa Ujenzi
Profesa Makame Mbarawa kuashiria ufunguzi wa barabara ya Barabara ya
Bariadi-Lamadi yenye kilometa 71.8.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono wakazi wa Bariadi mara baada ya kumaliza kufungua barabara ya
Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa 71.8.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wananchi wa Bariadi kabla ya kufungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi,
katika mkoa wa Simiyu. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon