MKOA WA ARUSHA KUKOMESHA MIGOGORO YA ARDHI

January 08, 2017
pozs

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza kwenye kikao cha kutatua migogoro ya Ardhi mkoani humo.

 


           Serikali mkoani Arusha  imejipanga ndani ya kipindi cha miaka miwili iwe imekomesha migogoro ya ardhi sanjari na mivutano ya mikapa ya kiutawala kati ya wilaya moja na nyingine.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »