Makamu
wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiongoza kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano
na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa
zamani wa Baraza la Wawakilishi.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan (katikati)akiongoza kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya
Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichofanyika kwenye
ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi, kushoto ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na kulia ni Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi

iWaziri
wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira
Mhe. January Makamba akielezea masuala mbali mbali ambayo yamejadiliwa
na Mawaziri wa Tanzania Bara pamoja Visiwani
Baadhi
wa Mawaziri kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia kwa
makini kikao hicho ambacho changamoto mabli mbali zinazohusu Muungano.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
EmoticonEmoticon