Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Longido, Daniel
Chongolo baada ya kuwasili jijini Arusha kuanza ziara ya kazi mkoani
humo Desemba 1, 2016.Pichani kati ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh.Mrisho
Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Monduli, Iddi
Kimanta baada ya kuwasili jijiniArusha kuanza ziara ya kazi Desemba 1,
2016.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Catherine
Magige baada ya kuwasili jijiniArusha kuanza ziara ya kazi Desemba 1,
2016.
EmoticonEmoticon