Mwanzilishi na MKurugenzi wa
Jamaii Forum Bw. Maxence Mello akitoka mahakamani mara baada ya kusomewa
mashtaka yake Mello amekosa dhamana katika kosa moja baada ya kukosa
mdhamini mmoja mwenye sifa , Hata hivyo katika makosa mawili mengine
yanayomkabili alipata dhamana Bw. Mello amesomewa mashtaka hayo leo
kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam.
Mwanasheria wa TCRA Bw.Johanes Kalungula akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari mara baada ya kesi hiyo kuahirishwa.
EmoticonEmoticon