Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na wajumbe wa bodi ya Benki ya Uchumi Commercial, tawi la
Karatu kabla ya kufungua benki hiyo Desemba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Baadhi ya viongozi na watumishi
wa Benki ya Uchumi Commercial tawi la Karatu wakimsikiliza Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kabla ya kufungua tawi hilo
Desemba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa
akizungumza kabla ya kufungua Benki ya Uchumi Commercial tawi la Karatu
Desemba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Benki ya Uchumi Commercial
tawi la Karatu baada ya kuifungua Desemba 5, 2016.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitembelea Benki ya Uchumi Commercial, tawi la Karatu baada ya
kuifungua Desemba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon