MAKAMBA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 22 WA DUNIA WA MABADILIKO YA TABIANCHI

November 18, 2016
unnamed
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba (Kulia) akiongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 22 wa Dunia wa Mabadiliko ya Tabianchi, huko Maracckech – Morocco. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mbarak Abdulwakil.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »