Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph Pombe Magufuli
akitoka katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini Zanzibar leo
Agosti 3, 2016 baada ya kuweka saini kitabu cha wageni kabla ya kuzuru
na kuweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
Joseph Pombe Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa
Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh
Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini
Zanzibar leo Agosti 3, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph Pombe Magufuli
akitoa heshima zake baada ya akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais
wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu
Sheikh Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini
Zanzibar leo Agosti 3, 2016.
Mama Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. Joseph Pombe Magufuli, akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais
wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu
Sheikh Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao Kisiwandui mjini
Zanzibar leo Agosti 3, 2016.
Mama Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. Joseph Pombe Magufuli, akitoa heshima baada ya kuweka shada la
maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM
Makao Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti 3, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph Pombe Magufuli, na
viongozi wengine wakiomba dua bada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi
la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao
Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti 3, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph Pombe Magufuli,
akiwa na Mama Fatma Karume baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi
la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume katika ofisi Kuu ya CCM Makao
Kisiwandui mjini Zanzibar leo Agosti 3, 2016.
PICHA NA IKULU
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Joseph Pombe Magufuli,

EmoticonEmoticon