Balozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe.
Wilson Masilingi akitia saidi kitabu cha wageni katika chuo
kinachomilikiwa na Mtanzania Dr. Lucas Shallua kilichopo Winston Salem,
North Carolina siku ya Ijumaa Septemba 2, 2016.
Balozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe.
Wilson Masilingi akifanya mazungumuzo na mmiliki wa chuo cha Mount Eagle
College &University Dr. Lucas Shallua siku ya Ijumaa Septemba 3,
2016 Balozi Wilson Masilingi alipotembelea chuo hicho kilichopo Winston
Salem, North Carolina.
Mazungumuzo
yakiendelea, wengine katika kufuatilia mazungumuzo hayo kutoka kushoto
ni ni Afisa Uhamiaji wa Ubalozi Bwn. Abbas Missana, Dr. Dorothy Edward
Shallua (mke wa Dr. Lucas Shallua), Mke wa Balozi Marystela Masilingi,
na mwenyeiki wa Umoja wa Watanzania North Carolina, Bi. Gloria Alex.
Balozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe.
Wilson Masilingi akimsikiliza Dr. Lucas Shallua alipokua akimwonyesha
moja ya darasa linalotumia kurekodia masomo ya matandaoni.
Balozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe.
Wilson Masilingi akimsikiliza Dr. Lucas Shallua (kulia) alipokua
amkitembeza na kumwonyesha chuo cha Mount Eagle College & University
kilichopo mji wa Winston Salem, North Carolina. Wengine katika picha
kutoka kushoto ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Watanzania North
Carolina, Bi. Gloria Alex, Mke wa Balozi Bi. Marystela Masilingi, nyuma
ya Balozi asiyeonekana ni Afisa Uhamiaji wa Ubalozi Bwn. Abbas Missana
na Mke wa Shallua, Dr. Dorothy Edward Shallua.
Moja ya madarasa chuoni hapo.
kutoka
kushoto ni Afisa Uhamiaji wa Ubalozi Bwn. Abbas Missana, Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Umoja wa Watanzania North Carolina, Bi. Gloria Alex, nyuma ya
Mhe. Balozi ni mkewe Marystela Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Wilson Masilingi, mke wa
Shallua, Dr. Dorothy Edward Shallua na Dr. Lucas Shallua ambaye akitoa
maelezo kwa Mhe. Balozi wakati akimtembeza na kumwonyesha chuo hicho.
Mke
wa Dr. Shallua, Dr. Dorothy Edward Shallua (kulia) akimuelezea Balozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe.
Wilson Masilingi kuhusiana na kampuni yake ya Mount Eagle Health Care
ambayo ofisi zake pia zipo kwenye jengo la ofisi za chuo hicho.
Balozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe.
Wilson Masilingi akisikiliza maelezo kutoka mmoja ya walimu wa darasa la
utgawaji utumiaji wa dawa kwa mgonjwa chuoni hapo Mwl. Allen Greene
(kushoto) kati ni Dr. Lucas Shallua akifuatilia kwa makini muzungumuzo
hayo.
Wapili
toka kushoto ni Mkuu wa chuo Bi. Denese Methews akitoa maelezo kwa
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico,
Mhe. Wilson Masilingi (watano toka kushoto) kuhusiana na chuo hicho
wengine wanao msikiliza kutoka kushoto ni mke wa Dr. Shallua, Dr.
Dorothy Edward Shallua, mwenyeki wa Jumuiya ya Umoja wa Watanzania North
Carolina, mke wa Balozi, Marystela Masilingi na Dr. Lucas Shallua.
Kutoka
kushoto ni Ted, mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Watanzania North
Carolina Bi. Gloria Alex, Mke wa Balozi Marystela Masilingi, Balozi wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Wilson
Masilingi, Dr. Lucas Shallua, mke wa Dr. Shallua, Dr. Dorothy Edward
Shallua na Afisa Uhamijai wa Ubalozi, Bwn. Abbas Missana.
Balozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe.
Wilson Masilingi na mkewe wakipokea zawadi kutoka mke wa Dr. Shallua,
Dr. Dorothy Edward Shallua na Dr. Lucas Shallua.
Chuo
cha Mount Eagle kinatoa unafuu kwa Mtanzania anayetaka kujiunga katika
masomo ya Unesi na ugawaji dawa na chuo hicho kwa kukuwezesha wewe
kufanyakazi hospitanini au kwenye maduka ya dawa pia wanamsomo ya
mtandaoni kwa bei nafuu. Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana na Dr.
Lucas Shallua barua pepe Lshallua@mounteag.com
EmoticonEmoticon