Ofisa
Mafunzo na Uendeshaji wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT-AMIS, Ashura
Kassim (kulia) akimuandikisha Bi. Azina Ramadhani mmoja wa watu
waliofika katika banda lao wakati wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za
Kifedha na Uwekezaji katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Ofisa Mafuzo Idara ya Uendeshaji, Doris Mlenge na wa
pili kulia ni Ofisa Masoko na Uhusiano, Waziri Ramadhani.
Ofisa Masoko na Uhusiano, Waziri Ramadhani (kushoto), akitoa elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa mmoja wa watu waliotembelea banda lao.
Ofisa Masoko na Uhusiano, Waziri Ramadhani (kushoto), akitoa elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa mmoja wa watu waliotembelea banda lao.
Baadhi ya watu waliofika katika banda la UTT-AMIS wakipata maelezo kuhusu Uwekezaji wa Pamoja.
EmoticonEmoticon