Mjumbe
wa Bodi ya TEMESA Brigedia Jenerali Msataafu Mhandisi Mabula
Mashauri(katikati aliyesimama) akizungumza na mafundi wa TEMESA wakati
akifunga mafunzo ya mafundi wa Wakala hao iliyofanyika katika Chuo cha
Taifa cha Usafirishaji (NIT) Agosti 26,2016.
Kaimu
Mtendaji TEMESA Mhandisi Manase Ole Kujan(kulia) akitoa neno kwa mafundi
wa TEMESA wakati wa hafla ya kuhitimisha mafunzo kwa mafundi hao
iliyofanyika katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Agosti 26,2016
kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya TEMESA Brigedia Jenerali Msataafu Mhandisi
Mabula Mashauri .
Mjumbe
wa Bodi ya TEMESA Brigedia Jenerali Msataafu Mhandisi Mabula Mashauri
akionesha moja ya vifaa vilivyokabidhiwa na mafundi wa TEMESA kwa ajili
ya karakana zao wakati wa hafla ya kuhitimisha mafunzo kwa mafundi hao
iliyofanyika katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Agosti
26,2016.
Mjumbe
wa Bodi ya TEMESA Brigedia Jenerali Msataafu Mhandisi Mabula Mashauri
akikabidhi cheti kwa mmoja wa mafundi Bw.Saidi Waziri kutoka Arusha
wakati wa hafla ya kuhitimisha mafunzo kwa mafundi hao iliyofanyika
katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Agosti 26,2016.
Mjumbe
wa Bodi ya TEMESA Brigedia Jenerali Msataafu Mhandisi Mabula Mashauri
akikabidhi moja ya vifaa vilivyotolewa kwa ajili ya karakana za TEMESA
kwa Bw. Japhet Mwita mmoja wa washiriki wa mafunzo yaliyofanyika hivi
karibuni katika hafla ya kuhitimisha mafunzo hayo iliyofanyika katika
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Agosti 26,2016.

EmoticonEmoticon