Mmoja
ya Fundi gereji katika Mtaa wa Guluka Kwalala kata ya Gongo la Mboto
jijini Dar es Salaam Bw. Mohamed Ali akielezea sababu za wao kuvamia
eneo la Kilichokuwa kiwanda cha nguo cha KiliTex kwa Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (hayupo pichani).
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi
akimsikiliza kwa makini Afisa Ardhi toka Manispaa ya Ilala Bw. Furaha
Mwakapalila akielezea historia ya eneo la Kilichokuwa kiwanda cha nguo
cha KiliTex ambalo kwa sasa limevamiwa na mafundi magari wa kata ya
Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.
Afisa
Tarafa wa Ukonga Bw. Jeremiah Makorere akifafanua jambo kwa Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi wakati wa ziara
ya waziri huyo kubaini migogoro mbalimbali ya ardhi katika eneo la Pugu
Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akizungumza
na wananchi wa Mtaa wa Guluka Kwalala kata ya Gongo la Mboto jijini Dar
es Salaam ambao wamevamia eneo la Kilichokuwa kiwanda cha nguo cha
KiliTex.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akizungumza
na wananchi wa Mtaa wa Guluka Kwalala kata ya Gongo la Mboto jijini Dar
es Salaam ambao wamevamia eneo la Kilichokuwa kiwanda cha nguo cha
KiliTex.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akizungumza
na wananchi wa Mtaa wa Msimbazi kata ya Pugu Station jijini Dar es
Salaam ambao wamevamia eneo la Kilichokuwa kiwanda cha matofali ya
kuchoma cha Kisarawe Brick Factory (KIBRICO) wakati wa ziara ya Waziri
huyo kubaini migogoro ya ardhi katika eneo la Pugu.
Mwenyekiti
ya Kamati ya malalamiko ya wakazi wa Mtaa wa Msimbazi kata ya Pugu
Station jijini Dar es Salaam ambao wamevamia eneo la Kilichokuwa kiwanda
cha matofali ya kuchoma cha Kisarawe Brick Factory (KIBRICO) Bw. Deus
King΄ung΄alo akisoma risala kwa niaba ya wakazi hao wakati wa ziara ya
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi
wakati wa ziara ya Waziri huyo kubaini migogoro ya ardhi katika eneo la
Pugu.
EmoticonEmoticon