Sehemu ya wadau kutoka Idara na Taasisi mbalimbali za Serikali
wakifuatilia Hotuba ya ufunguzi iliyotolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya
Makamu wa Rais (hayupo pichani) katika Warsha ya kupitia Rasimu ya Sera
ya Taifa ya Mazingira
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mbaraka AbdulWakil akiteta
jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Bw. Richard Muyungi (kushoto)
mara baada ya kufungua Warsha ya kupitia Rasimu ya Sera ya Taifa ya
Mazingira. Warsha hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa,
jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Bw. Deogratius
Paul
Wana warsha wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi mara baada
ya ufunguzi wa Warsha katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar
es Salaam
EmoticonEmoticon