Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Huawei Bw.Bruce Zhang
wakati alipofika Ikulu na ujumbe wake leo kwa mazungumzo,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Huawei Bw.Bruce Zhang
wakati alipofika Ikulu na ujumbe wake leo kwa mazungumzo,
[Picha na Ikulu.] 20/07/2016.
EmoticonEmoticon