Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile (aliyeipa
mgongo kamera), akizungumza jambo kabla ya kutia saini Hati ya
makubaliano ya ushirikiano wa ujenzi wa miradi mbalimbali ukiwemo ujenzi
wa Reli ya Kati katika kiwango cha Kimataifa (Standard gauge) na Benki
ya Exim ya China, Jijini Dar es salaam.
Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile (Kulia)
akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Dkt. Leonard Chamuriho (katikati) kabla ya kutia saini Hati
ya makubaliano ya ushirikiano wa ujenzi wa miradi mbalimbali ukiwemo
ujenzi wa Reli ya Kati katika kiwango cha Kimataifa (Standard gauge) na
Benki ya Exim ya China, Jijini Dar es salaam Kushoto ni Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James.
Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile (Kushoto)
akitoa maelezo kwa mmoja wa maafisa wa Benki ya Exim-China, kabla ya
kutia saini Hati ya makubaliano ya ushirikiano wa ujenzi wa miradi
mbalimbali ukiwemo ujenzi wa Reli ya Kati katika kiwango cha Kimataifa
(Standard gauge), na Benki ya Exim ya China, Jijini Dar es salaam.
Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile na Naibu
Meneja Mkuu (Mikopo Nafuu) wa Benki ya Exim ya China, Zhu Ying, wakitia
saini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano wa utekelezaji wa miradi
mbalimbali ya maendeleo ukiwemo ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha
Kimataifa (Standard gauge), Jijini Dar es salaam.
Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile akipeana mkono
na Naibu Meneja Mkuu (Mikopo Nafuu) wa Benki ya Exim ya China, Zhu
Ying, mara baada ya kutia saini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano wa
utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ukiwemo ujenzi wa Reli ya
Kati kwa kiwango cha Kimataifa (Standard gauge), Jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Fedha na Mipango Dkt. Philip I. Mpango (Mb) (kushoto), akizungumza
na Rais wa Benki ya Exim-China, Liu Liange, katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa JK Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya Rais huyo
aliyekuwepo nchini kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Kulia ni Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa.
Waziri
wa Fedha na Mipango Dkt. Philip I. Mpango (Mb) (kulia), akipeana mkono
na Rais wa Benki ya Exim-China, Liu Liange, katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa JK Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya Rais huyo
aliyekuwepo nchini kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, kuondoka nchini.
Rais
wa Benki ya Exim kutoka China, Liu Liange (kulia) akiwa katika Uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere, muda mfupi kabla ya kuondoka
nchini kurejea China baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi nchini
ambapo Benki yake imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kutekeleza
Miradi Kadhaa ya Maendeleo ukiwemo ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango
cha kimataifa (Standard gauge)
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip I. Mpango (Mb) (kulia), akiagana na Rais wa Benki ya Exim-China, Liu Liange, katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya Rais huyo aliyekuwepo nchini kwa ziara ya kikazi kwa mawaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
EmoticonEmoticon