USAILI WA KIKOSI KAZI CHA 102.5 LAKE FM MWANZA WAENDELEA KUFANYIKA.

June 08, 2016
Hiki ni Kikosi Kazi cha baadhi ya Wafanyakazi wa 102.5 Lake Fm, Raha ya Rock City #Radio ya Wananzengo. Radio hiyo ambayo ni inakiki jijini Mwanza hivi sasa licha ya kwamba bado iko kwenye majaribio, inaendelea na usaili wake ili itakapoanza kurusha vipindi vyake rasmi, ianze kwa mwendo kasi zaidi.
Na BMG


Tegea sikio LakeFm kupitia masafa ya 102.5 Mwanza ama duniani kote kwa njia ya mtandao kupitia Application ya Zuninga ambapo unaweza kubonyeza https://play.google.com/store/apps/details?id=com.zanteltv ili kupata Application hiyo ya Zuninga na utafurahia ujio wa 102.5 Lake Fm Mwanza, #Raha ya Rock City, #Radio ya Wananzengo.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »