Kijana
wa Umoja wa Vijana wa CCM, Kibibi Duka akimvalisha skafu Msemaji wa
CCM, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Christopher Ole Sendeka, alipowasili
Ofisi ya CCM y Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi akiwa katika ziara ya
kukagua na kuimarisha uhai wa Chama wilayani humo leo.
Kijana
wa Umoja wa Vijana wa CCM, Ali Njonzi akitokwa na jasho jembemba wakati
wa Vijana wa umoja huo walipokuwa wakimpokea msemaji wa CCM,
Christopher Ole Sendeka katika Ofisi ya CCM wilaya ya Kilwa leo akiwa
katika ziara ya kukagua na kuimarisha uhai wa Chama
Msemaji
wa CCM, Cheristopher Ole Sendeka akimsalimia Katibu wa CCM Wilaya ya
Liwale Raphael Maumba, alipokuwa akisalimia viongozi mbalimbali wa CCM
mkoa wa Lindi, baada ya kuwasili ofisi ya CCM wilaya ya Kilwa leo akiwa
katika ziara ya kukagua na kuimarisha uhai wa Chama
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa akimuongoza Msemaji wa CCM, Christopher
Ole Sendeka kuingia Ofisi ya CCM wilaya ya Kilwa, alipowasili akiwa
katika ziara ya kukagua na kuimarisha uhai wa Chama leo
Msemaji
wa CCM Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni baada ya
kuwasili Ofisi ya CCM wilaya ya Kilwa, akiwa katika ziara ya kukagua na
kuimarsiha uhai wa Chama wilayani humo leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM
mkoa wa Lindi Ali Mtopa
Baadhi
ya wageni waliofuatana na semaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka wakiwa
ukumbi wa Ofisi ya CCM, wakati Sendeka alipokuwa akizungumza na baadhi
ya viongozi wa CCM wilaya ya Kilwa mkoani Lindi leo.
Katibu
wa CCM mkoa wa Lindi Adelina Geffi akisoma taarifa ya Chama, Msemaji wa
CCM alipowasili Ofisi ya CCM wilaya ya Kilwa mkoani humo leo. Kushoto
ni Mwenyekiti wa CCM mkoa huo wa Lindi Ali Mtopa.
Msemaji
wa CCM Christopher Ole Sendeka akizungumza na viongozi wa CCM,
alipowasili katika Ofisi ya CCM wilaya ya Kilwa mkoani Lindi leo.
Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa.
Msemaji
wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiselebuka na Vijana wa Umoja wa
Vijana wa CCM waliofika kumpokea katika Ofisi ya CCm wilaya ya Kilwa
mkoani Lindi leo kukagua na kuimarisha uhai wa Chama
Wazee
wa Kilwa mkoani Lindi wakimpokea kwa shamrashamra Msemaji wa CCM
Christopher Ole Sendeka, alipowasili katika ukumbi wa Hall Fair,
kuzungumza nao leo akiwa katika ziara ya kukagua na kuimarisha uhai wa
Chama wilayani Kilwa mkoani Lindi
Wazee
wa Kilwa mkoani Lindi wakimpokea kwa shamrashamra Msemaji wa CCM
Christopher Ole Sendeka, alipowasili katika ukumbi wa Hall Fair,
kuzungumza nao leo akiwa katika ziara ya kukagua na kuimarisha uhai wa
Chama wilayani Kilwa mkoani Lindi
Mwenyekiti
wa Wazee wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, Mohammed Msinjepi
akimkaribisha Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka (katikati),
kuzungumza na wazee wa wilaya ya Kilwa, katika ukumbi wa Hall Fair leo.
Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa.
Hakim
Mstaafu Mzee Zuberi Liengama akisoma risala, kabla ya Msemaji wa CCM
Christopher Ole Sendeka kuzungumza na wazee wa wilaya ya Kilwa mkoani
Lindi leo
Hakim
Mstaafu Mzee Zuberi Liengama akimkabidhi risala baada ya kuisoma, kabla
ya Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka kuzungumza na wazee wa wilaya
ya Kilwa mkoani Lindi leo
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa akimtambulisha kwa wazee wa wilaya ya
Kilwa, Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka, leo katika Ukumbi wa
Hall Fair
Msemaji
wa CCM, Cheristopher Ole Sendeka akizungumza na Wazee wa wilaya ya
Kilwa mkoani Lindi alipokuwatana nao katika ukumbi wa Hall Fair,
wilayani humo leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
EmoticonEmoticon