Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki akatika Mkutano wa Viongozi Wakuu
wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa
Afrika ( SADC) uliofanyika kwenye hoteli ya Grand Palm mjini Gaborone
Botswana Juni 28. Waziri Mkuu alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli
kwenye mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Rais wa Afrika ya Kusini Jacob
Zuma (wapili kulia) kuingia kwenye ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya
Grand Palm mjini Gaborone kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi na
serikali wa Jumuiya yaMaendeleo kusini mwa Afrika ( SADC ) kumwakilisha
Rais John Pombe Magufuli Juni 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
EmoticonEmoticon