Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla amezitaka halmashauri zote kuzikabidhi
shule madawati yote ya likamilika kwa maandishi ili kuepuka udanganyifu
na madawati hewa
Hayo ameyasema leo katika ziara yake
ya kikazi halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe kukagua kazi ya
utengenezaji wa madawati katka halmashauri
Amewashukuru wananchi, wadau na
viongozi wa ngazi zote katika halmashauri zote Mkoa wa mbeya kwa namna
walivyohamasika kuchangia utengenezaji wa madawati na
anaamini Mkoa wa Mbeya itatekelezwa agizo la kukamilisha madawati
ifikapo tarehe 39 juni ila kwa ajili ya kujiwekea sawa Mkoa umejieleza
malengo ya kukamilisha tarehe 20 na kuna kila dalili zoezi hilo
litakamilika kama ilivyopangwa
Amewataka
viongozi wa halmashauri na watendaji kuyakabidhi madawati yote
yaliyokamika kwa maandishi ili kudhibiti taarifa za madawati hewa
kuficha ukweli na baadaye ibainike bado kuna upungufu. Naomba mkabidhi
kwa kurejea taarifa ya upungufu kwa kila shule na si vinginevy
EmoticonEmoticon