Makamu
wa Rais Samia Suluhu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi wakifuatilia kikao cha Kamati
Kuu ya CCM kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya
Kikwete kwenye Ofisi ndogo ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam
Juni 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi
ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Rais
Mstaafu Jakaya Kikwete wakati alipofungua kikao chao kwenye Ofisi ndogo
ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Juni 18, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Dk. Tulia Ackson mara baada
ya kumaliza kikao maalum cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika , Makao
makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
EmoticonEmoticon