Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri
ya Muungano ya Tanania Dk. Gharib Bilal wa tatu kutoka kushoto na Mama
Salma Kikwete wa kwanza kushoto wakishiriki mazishi ya Merehemu
Benadette Izengo mama wa Mkurugenzi wa kampuni ya Montage Limited Teddy
Mapunda aliyekaa katikati yao pamoja na wanafamilia wengine wakati wa
mazishi yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam
baada ya ibada ya mazishi iliyofanyika kwenye kanis kuu la Mtakatifu
Joseph.
Mke wa Rais Mstaafu Dk Jakaya
Kikwete Mama Salma Kikwete akiweka mchanga kaburini wakati aliposhiriki
mazishi ya Marehemu Mama Benadette Izengo yaliyofanyika jana kwenye
makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Balozi Asha Rose Migiro akiweka mchanga kaburini wakati wa maishi ya marehemu mama Benadette Izengo.
Fathre
Matumaini akiongoza ibada ya mazishi ya Marehemu Mama Benadette Izengo
iliyofanyika kwenye kanisa la Mtakatifu Josepha jana.
Teddy Mapunda na Ndugu yake wakiwa pembeni mwa jeneza la mama yao mpendwa marehemu Benadette Izengo.
Mkwe
wa Marehemu mama Benadette Izengo akishiriki ibada ya mazishi pamoja na
ndugu na jamaa wa familia kwenye kanisa la Mtakatifu Joseph jana.
Wajukuu wa marehemu wakishiriki ibada hiyo jana.
Wana familia wakiwa na majonzi kwa kuondokewa na mpendwa mama yao Marehemu Mama Benadette Izengo.
Teddy
Mapunda na Mumewe Nestor Mapunda wakiwa na majozni huku wakiangalia
jeneza la mama yao mpendwa marehemu mama Benadette Izengo.
Baadhi ya waombolezaji wakishiriki mazishi kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Kutoka
kushoto ni Jeseph Kusaga Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Enertainment,
Nandi Mwiyombela, Justin Pamba, Godfrey Kusaga na John Mbele nao
walishiriki katika mazishi hayo ya mama Bebadette Izengo.
EmoticonEmoticon