Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika
ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga (kulia)
wakizungumza na Waziri Mkuu wa Norway, Erna Solberg katika Mkutano
kuhusu mikakati ya kupambana na rushwa uliofanyika London Uingereza, May
12, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Norway, Erna
Solberg katika Mkutano kuhusu mikakati ya kupambana na rushwa
uliofanyika kwenye ukumbi wa Lancaster House, London Uingereza, May 12,
2016. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya
Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika
ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga (wapili kushoto)
wakizungumza na Waziri Mkuu wa Norway, Erna Solberg (kulia) katika
Mkutano kuhusu mikakati ya kupambana na rushwa uliofanyika kwenye
ukumbi wa Lancaster House, London Uingereza, May 12, 2016. Wanne
kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman na watatu kushoto ni
Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika `Wizara ya Mambo ya Nje,
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Joseph
Sokoine.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi Anayeshughulikia
Ushirikiano wa Kimataifa wa Uingereza (Minister of State for
International Development) , Justine Greening katika Mkutano kuhusu
mikakati ya kupambana na rushwa uliofanyika kwenye ukumbi wa Lancaster
House, London Uingereza, May 12, 2016. Wapili kushoto ni Waziri wa
Mambo ya Nje , Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Kikanda naKimataifa,
Augustine Mahiga na watatu kushoto ni Jaji Mkuu, Mohamed Othman.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola,
Patricia Scotland katika Mkutano kuhusu mikakati ya kupambana na
rushwa uliofanyika kwenye ukumbi wa Lancaster House, London Uingereza,
May 12, 2016.
EmoticonEmoticon